Lesson 6. Habari za safari?

 0    180 フィッシュ    arudkowska
印刷 遊びます 自分をチェック
 
質問 - 答え -
Swahili grammar and workbook. London: RoutledgeYou can call me...
学び始める
Unaweza kuniita...
How was the trip?
学び始める
Habari za safari?
The trip is long.
学び始める
Safari ni ndefu.
road, street
学び始める
barabara
bus station
学び始める
kituo cha basi
near..., close to...
学び始める
karibu na
by car
学び始める
kwa gari
wildlife park, preserve
学び始める
mbuga
The Maasai Mara National Park
学び始める
Maasai Mara
Mount Kilimanjaro
学び始める
Mlima Kilimanjaro
to climb a mountain, go mountain climbing
学び始める
kupanda mlima
The animals are in (indef.) the park
学び始める
Wanyama wako mbugani.
highway, highways
学び始める
barabara kuu
bus, buses
学び始める
basi, mabasi
store, stores
学び始める
duka, maduka
hotel, hotels
学び始める
hoteli
office building, office buildings
学び始める
jengo la ofisi, majengo ya ofisi
church, churches
学び始める
kanisa, makanisa
downtown, city center
学び始める
kati kati ya mji
bus station, bus stations
学び始める
kituo cha basi, vituo, vya basi
station, stations, stop, stops, stand, stands
学び始める
kituo, vituo
to be tired
学び始める
kuchoka
to arrive (2)
学び始める
kufika / kuwasili
to need
学び始める
kuhitaji
to leave, to depart
学び始める
kuondoka
to climb
学び始める
kupanda
to be able
学び始める
kuweza
far
学び始める
mbali
wildlife park, wildlife parks
学び始める
mbuga
restaurant, restaurants
学び始める
mkahawa, mikahawa
mountain, mountains
学び始める
mlima, milima
zwierzę, zwierzęta
学び始める
mnyama, wanyama
mosque, mosques
学び始める
msikiti, misikiti
money (2)
学び始める
pesa, fedha
trip, trips
学び始める
safari
shiling, shilings
学び始める
shilingi
market, markets
学び始める
soko, masoko
train, trains
学び始める
treni, matreni
beach, beaches (2)
学び始める
ufuko, fuko / ufukwe, fukwe
interesting (2)
学び始める
-a kupendeza, -a kuvutia
Gdzie są autobusy jadące do miasta?
学び始める
Mabasi ya kuenda mjini yako wapi?
Where is my hotel?
学び始める
Hoteli yangu iko wapi?
Where's the bus station?
学び始める
Kituo cha basi kiko wapi?
jak mogę dojść do dworca kolejowego?
学び始める
Vipi ninaweza kuenda kituo cha reli/treni?
What's the fare?
学び始める
Nauli kiasi gani?
Are there tours to the wildlife park?
学び始める
Kuna safari za kwenda mbugani?
Is it far from here?
学び始める
Ni mbali kutoka hapa?
Is that true? Is that so?
学び始める
Alaa kumbe?
eye, eyes
学び始める
jicho, macho
ear, ears
学び始める
sikio, masikio
tooth, teeth
学び始める
jino, meno
leaf, leaves, grass
学び始める
jani, majani
orange, oranges
学び始める
chungwa, machungwa
lemon, lemons
学び始める
limau, malimau
flower, flowers
学び始める
ua, maua
owoc, owoce
学び始める
tunda, matunda
stone, stones
学び始める
jiwe, mawe
matter, matters / affair, affairs
学び始める
jambo, mambo
shop, shops
学び始める
duka, maduka
name, names
学び始める
jina, majina
egg, eggs
学び始める
yai, mayai
box, boxes
学び始める
sanduku, masanduku
water (only plural)
学び始める
maji
milk (only plural)
学び始める
maziwa
oil (only plural)
学び始める
mafuta
life (only plural)
学び始める
maisha
pain (only plural)
学び始める
maumivu
reception desk (only plural)
学び始める
mapokezi
This is a notebook, and that is a box.
学び始める
Hili ni daftari, na lile ni sanduku
These are fruits, and those are flowers.
学び始める
Haya ni matunda, na yale ni maua.
These oranges come from Florida.
学び始める
Machungwa haya yanatoka Florida.
The bus is leaving from the station. (...o)
学び始める
Basi linaondoka kituoni
This car (g) broke down.
学び始める
Gari hili liliharibika.
The trains arrived early.
学び始める
Matreni yalifika mapema.
The train will arrive tomorrow. (...f)
学び始める
Treni litafika kesho.
These lemons don't come from Florida.
学び始める
Malimau haya hayatoki Florida.
pociąg nie przyjeżdża wcześnie. (...f)
学び始める
Treni halifiki mapema.
That car (g) didn't break down.
学び始める
Gari lile halikuharibika.
These notebooks were not lost.
学び始める
Madaftari haya hayakupotea.
The buses did not leave the station.
学び始める
Mabasi hayakuondoka kituoni.
His bus is leaving the station.
学び始める
Basi lake linaondoka kituoni.
My car (g) broke down.
学び始める
Gari langu liliharibika.
Your shoulder was aching.
学び始める
Bega lako liliuma.
Our notebooks were lost.
学び始める
Madaftari yetu yalipotea.
Their train arrived early.
学び始める
Treni lao lilifika mapema.
a beautiful car
学び始める
gari zuri
beautiful cars
学び始める
magari mazuri
mała pomarańcza
学び始める
chungwa dogo
small oranges
学び始める
machungwa madogo
zły owoc
学び始める
tunda baya
złe owoce
学び始める
matunda mabaya
a new car
学び始める
gari jipya
new cars
学び始める
magari mapya
a lot of sun
学び始める
jua jingi
much darkness
学び始める
giza jingi
a white car (g)
学び始める
gari jeupe
white cars
学び始める
magari meupe
the black notebook
学び始める
daftari jeusi
the black notebooks
学び始める
madaftari meusi
a red stone
学び始める
jiwe jekundu
red stones
学び始める
mawe mekundu
Musa bought red car.
学び始める
Musa alinunua gari jekundu.
Students like big cars.
学び始める
Wanafunzi wanapenda magari makubwa.
The small notebooks were not lost.
学び始める
Madaftari madogo hayakupotea.
Many fruits were rotten.
学び始める
Matunda mengi yalioza.
Our classroom is small.
学び始める
Darasa letu ni dogo.
Where is the hotel?
学び始める
Hoteli iko wapi?
Where is Liz?
学び始める
Liz yuko wapi?
Where are Liz and Mark?
学び始める
Liz na Mark wako wapi?
Where's the chair?
学び始める
Kiti kiko wapi?
Where are the books?
学び始める
Vitabu viko wapi?
Where's the school?
学び始める
Shule iko wapi?
Where are the houses?
学び始める
Nyumba ziko wapi?
Where is your car (g)?
学び始める
Gari lako liko wapi?
Where are the classrooms?
学び始める
Madarasa yako wapi?
Where is the teacher?
学び始める
Mwalimu yuko wapi?
He's at (!) home.
学び始める
Yuko nyumbani.
He's in (!) the classroom
学び始める
Yumo darasani.
Where is the book?
学び始める
Kitabu kiko wapi?
The book is in (w) the bag.
学び始める
Kitabu kimo mfukoni.
The book is on (! def.) the table.
学び始める
Kitabu kipo mezani.
The teacher is not at (!) home.
学び始める
Mwalimu hayuko nyumbani.
The students are not in (!) the classroom.
学び始める
Wanafunzi hawamo darasani.
The book is not on (def.) the table.
学び始める
Kitabu hakipo mezani.
Things are not at (! indef) the store.
学び始める
Vitu haviko dukani.
The pen is not in (!) the bag/pocket.
学び始める
Kalamu haimo mfukoni.
Pencils are not at (! indef.) the store.
学び始める
Penseli haziko dukani.
The bus is not at (! indef) the station.
学び始める
Basi haliko kituoni.
Oranges are not in the market.
学び始める
Machungwa hayako sokoni.
The teacher is at home.
学び始める
Mwalimu yuko nyumbani.
The teacher was at (!) home.
学び始める
Mwalimu alikuwako nyumbani.
The teacher will be at (! indef.) home.
学び始める
Mwalimu atakuwako nyumbani.
The students are in (! in) the classroom.
学び始める
Wanafunzi wamo darasani.
The students were in (in!) the classroom.
学び始める
Wanafunzi walikuwamo darasani.
The students will be in (! in) the classroom.
学び始める
Wanafunzi watakuwamo darasani.
The book was on (def.) the table.
学び始める
Kitabu kilikuwapo mezani.
The book will be on (! def.) the table.
学び始める
Kitabu kitakuwapo mezani.
The things are in (! indef.) the shop.
学び始める
Vitu viko dukani.
The things were (! indef.) in the shop.
学び始める
Vitu vilikuwako dukani.
The things will be in (indef.) the shop.
学び始める
Vitu vitakuwako dukani.
The teacher isn't at (! indef.) home.
学び始める
Mwalimu hayuko nyumbani.
The teacher wasn't at (indef.) home.
学び始める
Mwalimu hakuwako nyumbani.
nauczyciela nie będzie w (indef.) domu
学び始める
Mwalimu hatakuwako nyumbani.
The students aren't in (! w) the classroom.
学び始める
Wanafunzi hawamo darasani.
The students will not be in (!) the classroom.
学び始める
Wanafunzi hawatakuwamo darasani.
The students won't be in the classroom.
学び始める
Wanafunzi hawatakuwamo darasani.
The book isn't on (def.) the table.
学び始める
Kitabu hakipo mezani.
The book wasn't on (! def.) the table.
学び始める
Kitabu hakikuwapo mezani.
The book won't be on (def) the table.
学び始める
Kitabu hakitakuwapo mezani.
The things aren't in (indef.) the shop.
学び始める
Vitu haviko dukani.
The things weren't in the shop.
学び始める
Vitu havikuwako dukani.
The things won't be in (indef.) the shop.
学び始める
Vitu havitakuwako dukani.
auto, auta
学び始める
gari, magari
odpoczywać
学び始める
kupumzika
plaża (p)
学び始める
pwaa mapwaa
lotnisko
学び始める
Uwanja wa ndege viwanja vya ndege
interesujące (z)
学び始める
-zuri
How can I dojść to the train station?
学び始める
Vipi ninaweza kuenda kituo cha treni?
Owoce spadły z drzewa.
学び始める
Matunda yalianguka kutoka mtini
You can call me Margaret.
学び始める
Unaweza kuniita Margaret
ale podróż jest długa i I'm very tired.
学び始める
lakini safari ni ndefu na nimechoka sana
Możesz iść do hotelu teraz odpocząć
学び始める
Unaweza kwenda hoteli kupumzika sasa
Potrzebuję odpoczynku
学び始める
ninahitaji kupumzika
Here is your car.
学び始める
gari lako hili hapa
Samochód (g) jest bardzo ładny
学び始める
gari ni zuri sana
Teraz idziemy do hotelu
学び始める
sasa tunaenda hoteli
Gdzie jest mój hotel?
学び始める
hoteli yangu iko wapi
Twój hotel jest przy ulicy Kenyatta.
学び始める
Hoteli yako iko barabara ya Kenyatta
idziemy teraz do hotelu.
学び始める
Tunaenda hotelini sasa
Teraz idziemy na dworzec autobusowy.
学び始める
Sasa tunaenda kituo cha basi
Dworzec autobusowy jest (indef.) blisko dworca kolejowego.
学び始める
Kituo cha basi kiko karibu na kituo cha treni
Najpierw bierzesz autobus do Nairobi, a potem jedziesz do parku autem.
学び始める
Kwanza unapanda basi kutoka Nairobi na baadaye unaenda mbugani kwa gari.
Zwierzęta są w (undef.) parku.
学び始める
Wanyama wako mbugani
Ja chcę też wspiąć się na górę Kilimandżaro.
学び始める
Mimi ninataka kupanda Mlima wa Kilimanjaro pia
Góra Kilimandżaro jest w Tanzanii, nie jest w Kenii.
学び始める
Mlima wa Kilimanjaro uko Tanzania hauko Kenya
Chcę zobaczyć też zobaczyć Park Nardodowy Serengeti.
学び始める
Ninataka kuona mbuga ya wanyama ya Serengeti pia
ale Serengeti jest też w (indef.) Tanzanii.
学び始める
lakini Serengeti iko Tanzania pia
Is that so?
学び始める
Alaa kumbe
Here in Kenya is the Maasai Mara National Park.
学び始める
Hapa Kenya kuna mbuga ya wanyama ya Maasai Mara
To teraz pojadę do Maasai Mara, a potem odwiedzę do Tanzanii zobaczyć Serengeti i wspiąć się na górę Klimnadżaro.
学び始める
Basi sasa nitaenda Maasai Mara na baadaye nitatembelea Tanzania kuona Serengeti na kupanda Mlima wa Kilimanjaro

コメントを投稿するにはログインする必要があります。